mshtuko
Kupigwa kwa ghafla.
Vimepatikana vidahizo 239 vinavyoishia kwa silabi ko.
Kupigwa kwa ghafla.
1. Tendo la kutoka juu kuelekea chini. 2. Kupungua kwa thamani ya kitu. 3. Wakati unaofuata kumalizika kwa swala.
Hisia zinazoamshwa na jambo lililoonekana au kusikiwa.
Usukaji au mtindo unaotumiwa katika nywele na mikeka.
1. Hali ya machafuko inayokosa amani na utulivu. 2. Hali ya kitu kutikiswa.
1. Mifumo inayofungamana na kuathiri hali nyingine. 2. Linalohusiana na pande zaidi ya moja. 3. Kupita juu ya kitu bila kukigusa.
Hali ya kuongezeka ukubwa au upana.
Hali ya kushindwa kuchagua kati ya mambo mawili.
Hali ya vitu kusambaa katika sehemu kubwa.
1. Hali ya kitu kutoka katika nafasi yake ya kawaida. 2. Katika fasihi, tukio jipya kushika kasi hadi la awali lisahaulike.
1. Sehemu ya ardhi iliyoinama. 2. Kitu anachopewa mtu bila kulipia.
Kutetereka au kutikisika kwa mwili au kitu.
Hali ya jambo kuvurugika au kuharibika.
Hali ya kitu kuyumba na kutotulia.
Kuondoka kwa kukurupuka na kukimbia.
Mwendelezo wa jambo kwa kufuatana bila kukatika.
Mti unaozaa matomoko yenye nyama nyeupe tamu na kokwa nyeusi.
Hali ya kutikisika au kufura kutokana na mshtuko.
Kupandisha kitu hadi juu, kama bendera au tanga kwenye mlingoti.
Joto au hali ya kuwaka ndani ya mwili.
1. Kitendo cha kufanya tambiko kwa ajili ya kutuliza mizimu. 2. Uvaaji wa nguo kwa namna maalumu.
Namna ya kutoka upande mmoja hadi mwingine.
Kuondoka ghafla kwa kasi na kutoweka.
Tendo la kitu kuvunjika.
Hali ya mambo kutokwenda sawa.
1. Tendo la kitu kuwaka moto. 2. Joto linalohisiwa ndani ya mwili. 3. Namna ya kutandaza ripu au chokaa kwenye nyumba.
1. Ujumbe wa kumtaka mtu ahudhurie shughuli. 2. Mlio unaotokea kwa kishindo. 3. Kumweka mgonjwa ndani kwa ajili ya matibabu. 4. Tendo la kumtawi...
Hali ya kujitambua na kutenda mambo kwa juhudi.
Namna au alama za maandishi ya mkono.
Mlipuko au mpasuko mkubwa unaoshtua.
1. Upande ambao kitu kinaelekea. 2. Jambo au upande ambao fikira za mtu zimeegemea.
Kubeba mtu au kitu mgongoni.
1. Kifaa chenye mpini mwembamba na ncha bapa cha kusongea au kupakulia chakula. 2. Katazo la kufanya jambo kwa kuhofia madhara yanayohusishwa nalo...
Sehemu iliyopanda juu ya eneo linaloizunguka.
1. Majibu au maoni yanayotolewa kuhusu jambo lililoshughulikiwa. 2. Sauti inayorudi baada ya kuakisiwa. 3. Kifuniko kinachowekwa juu ya mwamba wa...
1. Tendo au namna ya kuondoka mahali. 2. Mwendo wa kujionyesha kwa madaha.
Kimiminika kinachotokana na kitu kigumu kuyeyuka.
Mti ambao mizizi yake imetumiwa katika dawa za jadi za kutapisha.
Hali ya kurejea katika utambuzi au kuondokana na kuduwaa.
Kutokea kwa kitu kwa ghafla.
Tendo la kwenda kwa njia ya duara.
Kifaa cha mfano wa pembe kilichotumiwa kutolea damu mwilini.
Tendo la kutumia kijiti chenye panda kuchuma matunda.
Ndege mkubwa mweusi mwenye nyama nyekundu inayoning'inia shingoni na anayekula nyoka.
Kalio la nyani lisilo na manyoya na lenye rangi nyekundu.
Kiwango ambacho sauti inasikika kuwa kubwa kuliko nyingine zenye toni moja.
Jambo analolitaja mtu kuonyesha kutoridhika.
Jina la zamani la kumtaja mama.
Kiasi cha ziada kinachozidi kiwango cha awali.
Cha kwako katika upatanisho wa mahali pa-.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.