Jumapili, 1 Novemba 2026
wenzo
1. Mti au kifaa cha kunyanyulia kitu kwa kuegemeza. 2. Kitu kinachosaidia kutekeleza kazi.
Kifaa au chombo kinachorahisisha au kuwezesha kazi, kama zana, machine, au lever.
Awali

gugu
1. Mmea wa nchi kavu unaofanana na tete. 2. Mmea usiotakiwa unaoota katika shamba.

mtulinga
Mfupa ulio mbele ya sehemu ya bega.

gololi
1. Kitufe kidogo cha duara kinachotumiwa katika mchezo wa watoto. 2. Kokwa moja ya pumbu. 3. Utandu mweupe katika jicho unaoathiri kuona.

abiria
Msafiri katika chombo cha usafiri ambaye si mhudumu au mwendeshaji wake.

gegenu
Mchwa mkubwa mwenye kichwa chekundu na mwenye kuuma sana.

wasia
Maagizo ya mtu kuhusu mambo baada ya kifo chake.