1. Ujumbe wa kumtaka mtu ahudhurie shughuli.
Nomino2. Mlio unaotokea kwa kishindo.
Nomino3. Kumweka mgonjwa ndani kwa ajili ya matibabu.
Nomino4. Tendo la kumtawisha mwari.
Nomino1. Invitation; message asking someone to attend an event.
Nomino2. Loud report; sound produced with a bang.
Nomino3. Seclusion for treatment; act of keeping a patient indoors for care.
Nomino4. Customary seclusion; act of keeping an initiate in seclusion.
Nomino1. Invitation; message demandant à quelqu'un de participer à un événement.
Nomino2. Détonation ou bruit éclatant; son produit avec fracas.
Nomino3. Mise à l'écart pour soins; maintien d'un malade à l'intérieur pour le traiter.
Nomino4. Réclusion coutumière; fait de maintenir une personne initiée à l'écart.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi