mteremko

0

1. Sehemu ya ardhi iliyoinama.

Nomino
Mfano wa matumizi Mteremko ulikuwa mkali baada ya mvua.

2. Kitu anachopewa mtu bila kulipia.

Nomino
Mfano wa matumizi Chakula kilikuwa mteremko kwa waliohudhuria.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →