lipa

0

1. Toa fedha zinazodaiwa kwa bidhaa au huduma.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Achen alilipa nauli kabla ya safari.

2. Rudisha wema au fadhila ulizofanyiwa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Walilipa fadhila kwa kusaidia familia hiyo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →