mwelekeo

0

1. Upande ambao kitu kinaelekea.

Nomino
Mfano wa matumizi Upepo ulibadilisha mwelekeo wa moshi.

2. Jambo au upande ambao fikira za mtu zimeegemea.

Nomino
Mfano wa matumizi Mazungumzo yalionyesha mwelekeo wa fikira zake.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →