Vinjari kwa Silabi

Silabi: ko

Vimepatikana vidahizo 239 vinavyoishia kwa silabi ko.

Ukurasa 5 / 5 Jumla 239

Vidahizo

39 kwenye ukurasa huu

tako

1. Sehemu ya nyuma ya mwili iliyo chini ya kiuno. 2. Sehemu ya chini au ya nyuma inayokuwa kikalio cha kitu.

tamko

1. Neno au kauli inayotolewa kwa sauti. 2. Azimio linalotolewa na washiriki wa mkutano.

ukoko

1. Chakula kilichoganda kwenye chombo kilichopikia. 2. Hali ya vipele au tabaka jeupe chini ya nywele.