1. Hali ya machafuko inayokosa amani na utulivu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Msukosuko ulitatuliwa kwa mazungumzo.
2. Hali ya kitu kutikiswa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Msukosuko wa chombo uliwatia hofu abiria.
1. Turmoil; disturbed state lacking peace and stability.
Nomino
Example
The turmoil was resolved through talks.
2. Shaking; state of being jolted or rocked.
Nomino
Example
The rocking of the vessel frightened the passengers.
1. Troubles; situation agitée privée de paix et de stabilité.
Nomino
Exemple
Les troubles ont été résolus par le dialogue.
2. Secousse; mouvement d'une chose ébranlée ou balancée.
Nomino
Exemple
Le balancement de l'embarcation a effrayé les passagers.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi