andiko
1. Kazi iliyonakiliwa na kuchapishwa, kama hadithi au mashairi. 2. Maandishi au mafundisho yanayopatikana katika Biblia.
Vimepatikana vidahizo 239 vinavyoishia kwa silabi ko.
1. Kazi iliyonakiliwa na kuchapishwa, kama hadithi au mashairi. 2. Maandishi au mafundisho yanayopatikana katika Biblia.
Kuporomoka kwa hadhi, umaarufu au nguvu ya mtu, nchi au mamlaka.
Hali au tendo la kukosa utulivu na umakini wa mawazo.
1. Sehemu ya mwisho ya mkono yenye kiganja na vidole; kitanga. 2. Kiasi cha kitu kinachoweza kushikwa katika kiganja kimoja; konzi.
Tendo au hali ya kushikiza kitu juu ya kingine.
1. Kitambaa cha kufunika sehemu ya uso kinachovaliwa na baadhi ya wanawake; nikabu. 2. Kifaa au kifuniko kinachovaliwa usoni kukinga pua, mdomo au...
1. Chakula cha ngano na nyama zilizosongwa pamoja na kutiwa samli. 2. Aina ya ndizi fupi nene inayokuwa laini sana inapopikwa. 3. Aina ya mua mne...
1. Tendo au shughuli ya kubomoa nyumba, ukuta au jengo. 2. Mabaki ya jengo au kitu kilichobomoka au kubomolewa; kifusi.
1. Mtiririko mkubwa au wa nguvu wa maji au machozi. 2. Mfululizo wa maneno mengi yasiyo na maana.
Hali ya kukakamaa na kujikunja kwa vidole vya mikono.
Umbo la umilikishi la -ako linalopatana na nomino ya ngeli ya KI katika umoja, likimaanisha cha wewe.
1. Utokeaji tena wa maradhi baada ya kutulia. 2. Ueneaji wa jambo kutoka sehemu moja kwenda nyingine. 3. Utawanyikaji wa vitu katika maeneo tofau...
Hali ya furaha, bashasha na uhai.
Tendo au sauti ya kucheka.
1. Sehemu ya juu ya chombo cha majini. 2. Sehemu ya muundo inayoshikilia au kukalisha mlingoti. 3. Mhimili mkuu wa chini wa chombo cha majini; mk...
Vicheko na sauti za furaha za kusherehekea.
Chanzo au asili ya jambo.
Mbegu ndogo ya jamii ya kunde, yenye rangi ya kijani; choroko.
Maneno au vitendo vya kuudhi vinavyoweza kusababisha ugomvi.
Mbegu ndogo ya jamii ya kunde yenye rangi ya kijani; choko.
Sehemu iliyokwanguliwa au kuchunika juu ya ngozi au kitu.
Tabia au tendo la kudeka.
Sehemu ya pwani ya kuteremshia abiria na mizigo.
Mchuzi mzito uliokolea.
1. Tukio au sehemu ya kucheza muziki uliorekodiwa. 2. Aina ya muziki wa dansi iliyovuma sana miaka ya 1970.
Mtu mwenye upungufu mkubwa wa uwezo wa kusikia.
1. Tele hadi kujaa kabisa. 2. Chombo cha kuinua, kushusha na kubeba mizigo.
Mchoro wa ukutani unaopakwa ripu ikiwa bado mbichi.
1. Sehemu ambayo kuku hutagia. 2. Mnyama anayefanana na panya na kuishi shimoni. 3. Kundi la jamaa wa ukoo mmoja.
1. Eneo la ardhi lililosafishwa kwa kufyekwa. 2. Pigo la kifaa cha kufyekea kinapokata majani.
Tamko la kumtaka mtu athubutu chini ya tishio.
Mfupa wa mbele wa mguu kati ya goti na kifundo.
1. Kifaa kinachowekwa juu ya kitu kukisitiri. 2. Hali ya kufunika kitu chote au kuficha jambo kikamilifu. 3. Jambo lisilowekwa wazi kwa watu. 4....
Hali ya wasiwasi, hofu au fadhaa.
Wasiwasi na mfadhaiko unaomsumbua mtu moyoni.
Tamko la kutoa pongezi.
Kiko chenye maji cha kuvutia tumbaku.
Kionyeshi cha mahali pa KU karibu na msikilizaji.
1. Jibu linalotolewa baada ya kuitwa. 2. Ukubali wa kufika katika mwaliko.
1. Ujumbe wa kumkaribisha mtu kwenye shughuli. 2. Kundi la wanawake wanaoeneza mwaliko nyumba kwa nyumba.
1. Chumba au sehemu iliyotengwa kwa kupikia. 2. Kifaa cha kutolea moto wa kupikia.
Tanuri la kuokea mikate au vyungu.
Kitambaa imara cha pamba kisichopaushwa.
Shimo linalopatikana juu ya mlima wa volkano.
Kijiti kinachopenyezwa kwenye nyama au samaki wakati wa kuchoma.
1. Mnyama mkubwa wa majini mwenye miguu mifupi na mdomo mpana. 2. Mtu mwenye mwili mnene na mkubwa. 3. Fimbo inayotumiwa kuchapia. 4. Mjeledi wa...
Sauti na tendo la kucheka.
Mlio unaofanywa kwa ulimi na ufizi.
Mtu asiyeweza kusikia.
Mtungi mdogo wa kubebea maji.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.