Vinjari kwa Herufi

Herufi: M

Vimepatikana vidahizo 3,098 vinavyoanza na herufi M.

Ukurasa 58 / 62 Jumla 3,098

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

mwandamizi

1. Mtu mwenye cheo cha juu katika ngazi ya idara. 2. Kipande cha tatu cha mshororo wa shairi ukihesabu kutoka kushoto.

mwandani

1. Mtu anayependwa kwa dhati na mwingine. 2. Rafiki wa karibu anayeaminika na kutegemewa.

mwanga

1. Mtu anayeaminika kufanya ulozi wakati wa usiku. 2. Mtu mwenye desturi ya kutembea usiku wakati wengine wamelala. 3. Nuru inayotolewa na jua, t...

mwangaza

1. Nuru inayofanya mahali au vitu vionekane. 2. Ufahamu wa kiasi kuhusu jambo. 3. Mtu anayejitahidi kutafuta kitu anachokihitaji.

mwango

1. Nafasi iliyoachwa ukutani ya kupitishia vitu au watu. 2. Mti wenye maua meupe yenye harufu nzuri na magome yanayotumiwa jadi kama dawa au kikol...