Mtu anayetunga au kuandika vitabu, makala na maandishi mengine.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwandishi alisoma sehemu ya kitabu chake mjini Jinja.
Writer; person who produces books, articles or other written works.
Nomino
Example
The writer read an extract from his book in Jinja.
Auteur; personne qui écrit des livres, articles ou autres textes.
Nomino
Exemple
L'auteur a lu un extrait de son livre à Jinja.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi