mvumo
1. Sauti kubwa ya kuvuma kama upepo au kundi la nyuki. 2. Mti wa shina nene kama mnazi unaozaa mavumo ya kahawia.
Vimepatikana vidahizo 3,098 vinavyoanza na herufi M.
1. Sauti kubwa ya kuvuma kama upepo au kundi la nyuki. 2. Mti wa shina nene kama mnazi unaozaa mavumo ya kahawia.
Nafasi iliyo chini ya kitu kilichoinuka.
Mti wa majani mapana wenye matunda marefu na membamba.
Tendo la kitu kuvunjika.
Tendo la kukivunja kitu.
1. Samaki wote waliopatikana katika uvuvi wa wakati mmoja. 2. Namna au tendo la kukamata samaki.
Bakuli la mbao linalotumiwa kuweka chakula.
Hali ya mambo kutokwenda sawa.
Hali ya kukosa mpangilio na uwazi.
Vurugu zinazotokea baina ya watu wenye mitazamo tofauti.
Ugomvi au kutoelewana baina ya makundi ya watu.
Uzuri wa mtu, kitu au wazo unaowafanya wengine wapendezwe.
Mtu anayepata riziki kwa kukamata samaki.
Mtu anayeshiriki ngoma ya kupungwa mashetani.
Mkusanyiko mkubwa wa maji kama bwawa.
Mama au baba wa mtu.
Tendo au hali ya watu au vitu kuachana.
Mtu anayewaita Waislamu kwenda kuswali msikitini.
Mtu anayekusanya taarifa za idadi za watu katika eneo.
Mtu anayewatendea wengine haki bila upendeleo.
Makubaliano yanayofikiwa baina ya watu.
Mtu mwenye asili inayohusishwa na Afrika.
Tamko la kumtaja mtu bila kusema jina lake.
Toa kimiminika, unga au punje kutoka chomboni na kuvitawanya.
Tawanyika nje ya chombo kwa kutiririka au kupukutika.
Peleka maji kwenye mimea kwa kutumia mfereji au bomba.
Tendo la kuipatia mimea maji.
1. Zawadi ya mume kwa mkewe anapotaka kuoa mke mwingine. 2. Sherehe ya kumuaga anayesafiri kwa muda mrefu au anayeolewa.
1. Mtu anayemhudumia mgonjwa kwa kumpatia tiba. 2. Mtu anayetafsiri ndoto au kubashiri yatakayotokea.
Mahali katika matumizi yasiyo rasmi.
Kupanga vitu katika makundi yenye sifa zinazofanana.
Yenye kutolewa pasipo kulipiwa.
Mchezo wa watoto kujificha ili mmoja awatafute.
Mtu au taasisi inayompa mwingine kazi ya mshahara.
Mtu mwenye kazi ya mkataba inayompatia mshahara.
1. Kipindi cha miezi kumi na miwili. 2. Siku inayofuata kibunzi katika desturi ya kuoga mwaka.
Katika mwaka unaokuja.
Mtu anayeshika nafasi ya mwingine kwa niaba yake.
Kitanda kinachofumwa kwa kamba za miyaa, katani, shupatu au ngozi.
1. Tendo la kitu kuwaka moto. 2. Joto linalohisiwa ndani ya mwili. 3. Namna ya kutandaza ripu au chokaa kwenye nyumba.
Doa la nguo lenye rangi inayotofautiana na sehemu nyingine.
1. Mti wa jamii ya mnazi unaotumiwa kuezekea nyumba. 2. Utandabui mweusi wa masizi unaojikusanya kwenye miti ya dari.
1. Msichana aliyebalehe ambaye bado hajaolewa. 2. Mwonzi unaotoka kwenye jua au kitu kinachowaka.
1. Ujumbe wa kumtaka mtu ahudhurie shughuli. 2. Mlio unaotokea kwa kishindo. 3. Kumweka mgonjwa ndani kwa ajili ya matibabu. 4. Tendo la kumtawi...
Mtu mwenye kazi ya kuwafundisha wanafunzi.
Mtu anayewaita watu wahudhurie shughuli.
Mti wenye majani ya kijani kilichokoza yanayong'aa na kubaki mwaka mzima.
1. Hali ya kuaminika kwa mtu. 2. Mtu anayeweza kutegemewa.
1. Jiwe kubwa lililo majini au nchi kavu. 2. Nguzo inayobeba paa la nyumba.
Fundi anayekaza ngozi juu ya kiunzi cha ngoma.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.