Mtu mwenye taaluma na ujuzi wa sheria.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwanasheria alimfafanulia Neema masharti ya mkataba.
Lawyer; person trained in law.
Nomino
Example
The lawyer explained the contract terms to Neema.
Juriste; personne formée au droit.
Nomino
Exemple
Le juriste a expliqué à Neema les clauses du contrat.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi