1. Mtu anayewagawia watu chakula katika karamu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwandazi aliwapelekea wageni wali wa nazi.
2. Mtu anayelisha au kuchunga wanyama.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwandazi aliwapeleka ng'ombe malishoni karibu na Singida.
1. Banquet server; person who serves food at a feast.
Nomino
Example
The banquet server brought the guests coconut rice.
2. Livestock feeder; person who feeds or tends grazing animals.
Nomino
Example
The herder took the cattle to pasture near Singida.
1. Serveur de banquet; personne qui sert les convives lors d'un festin.
Nomino
Exemple
Le serveur a apporté du riz au lait de coco aux invités.
2. Gardien de bétail; personne qui nourrit ou fait paître les animaux.
Nomino
Exemple
Le gardien a conduit les bovins au pâturage près de Singida.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi