maabadi
Mahali palipotengwa kwa shughuli za ibada.
Vimepatikana vidahizo 3,098 vinavyoanza na herufi M.
Mahali palipotengwa kwa shughuli za ibada.
Chumba chenye vifaa vya kufanyia majaribio ya sayansi.
Mungu, miungu au vitu vinavyoabudiwa.
Kitu chenye uzito na kinachochukua nafasi.
Neno la kutoa sababu au sharti linalowezesha jambo.
Sherehe za kukumbuka tukio lenye umuhimu.
Mtu au watu waliotoa udhuru wa kutohudhuria.
Kanuni na mwenendo mwema unaokubalika katika jamii au kazi.
Tukio linaloleta madhara au hasara kubwa.
Makubaliano yanayopatikana baada ya kuzungumza.
Watu wanaostahili kusamehewa.
Maelekezo yanayotolewa ili yatekelezwe.
Kanuni za kudumu za kuongoza utendaji wa kazi.
Mambo yanayoshangaza kwa kutokuwa ya kawaida.
1. Chakula kinachotumiwa kama mlo. 2. Aina mbalimbali za vyakula vinavyotolewa pamoja.
-enye upekee au iliyotengwa kwa kazi fulani.
Mtu aliyelaaniwa au mwenye mwenendo unaokiuka maadili.
Usambazaji wa vimelea kutoka chanzo kimoja kwenda kingine.
Kuingia kwa vimelea vya ugonjwa katika kiumbe mwingine.
Salamu za kujuliana hali.
1. Mwumini anayefuata imamu katika swala. 2. Mtu anayemtegemea mwenye ujuzi kumwongoza kwa kila jambo.
Sheria au amri zilizotumiwa katika utawala wa kikoloni.
1. Ujumbe unaofafanuliwa na neno au usemi. 2. Sababu inayofanya jambo litendeke. 3. Hali ya kujiheshimu na kuwa na hadhi.
Katika fikra na uangalifu wa mtu.
Matayarisho yanayotangulia kufanya jambo.
Hatua za kufanya shughuli iwe tayari kuanza.
Mwendo wa pamoja wa watu wenye lengo maalumu.
1. Maneno ya kidini yaliyoandikwa pamoja na ujumbe wake. 2. Kazi ya maandishi iliyotayarishwa na mwandishi au shirika. 3. Maneno au taarifa ziliz...
1. Maneno na maelezo yaliyorekodiwa kwa kuandika. 2. Makala au masimulizi yaliyotungwa kwa kuandikwa.
-enye kupitisha mwanga na kuonesha kilicho ndani.
Uharibifu mkubwa unaoleta madhara mazito.
Kitendo cha kuharibu au kuteketeza kabisa.
1. Kitendo cha kushuka na kuanguka chini. 2. Maji yanayoporomoka kutoka sehemu ya juu ya mto.
Kusudia ujumbe fulani katika kauli au tendo.
1. Mti wa mabegani wa kubebea mizigo yenye uzito unaolingana. 2. Mtu anayetajwa kwa dharau kuwa hana ufahamu.
1. Mbinu inayosaidia kutenda jambo vizuri. 2. Ujuzi unaopatikana kwa kujifunza au kufanya shughuli.
1. Shughuli kubwa inayohitaji mpango na malengo kabla ya kuanza. 2. Kauli ya kuongoza kazi au shughuli za mtu au shirika. 3. Nia au kusudi la kut...
-enye kujulikana na watu wengi.
Bwana na bibi wanaofunga au waliofunga harusi.
1. Vitendo vya kukataa kutii mamlaka inayotambuliwa. 2. Matendo yanayokiuka masharti ya dini.
Mwenendo unaopingana na kanuni za imani.
-liyotakasika na kutokuwa na dhambi.
Wazee au wahenga wa vizazi vilivyotangulia.
Hali ya mambo kugeuka kutoka yalivyokuwa.
Kitendo cha kupeana vitu au mawazo kati ya wahusika.
Sehemu zilizobakia baada ya nyingine kuondolewa au kutumiwa.
Alama zinazotenganisha au kuzunguka sehemu ya maandishi.
Nguvu ya kufanya jambo bila ridhaa ya anayehusika.
Mazungumzo yenye hoja au misimamo inayopingana.
Mtu mwenye neema, baraka au mafanikio.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.