Vinjari kwa Herufi

Herufi: M

Vimepatikana vidahizo 3,098 vinavyoanza na herufi M.

Ukurasa 57 / 62 Jumla 3,098

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

mwambata

1. Mtu anayefuatana na mwingine. 2. Ofisa wa ubalozi anayeshughulikia fani yake maalumu.

mwambo

1. Hali ya kukosa fedha au mahitaji ya lazima. 2. Tendo au namna ya kutandaza na kukaza nyenzo.

mwamuzi

1. Mtu anayesimamia mchezo wa mpira kwa kufuata sheria zake. 2. Mtu anayetoa uamuzi wa kupatanisha wanaozozana.

mwana

1. Tamko la heshima linalotangulia jina la mwanamke. 2. Mtoto wa jinsia ya kiume. 3. Kiumbe aliyezaliwa na binadamu au mnyama.