Mmea wa baharini wenye rangi ya kijani, kahawia au nyekundu iliyokolea.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wakulima wa Paje walikusanya mwani uliokomaa.
Seaweed; marine algae growing in the sea or along its shores.
Nomino
Example
The farmers of Paje gathered mature seaweed.
Algue marine; algue poussant en mer ou sur le littoral.
Nomino
Exemple
Les cultivateurs de Paje ont récolté les algues arrivées à maturité.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi