Vinjari kwa Herufi

Herufi: M

Vimepatikana vidahizo 3,098 vinavyoanza na herufi M.

Ukurasa 49 / 62 Jumla 3,098

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

mtalaleshi

1. Mtu anayesambaza habari zinazowahusu wengine. 2. Mjumbe wa kupeleka habari za siri, hasa mwanamke. 3. Mtu anayepata malipo kwa ngono au kuitaf...

mtama

1. Mmea wa nafaka wenye bua refu na masuke yenye punje ndogo nchani. 2. Punje zinazovunwa kutoka mmea wa mtama.

mtambo

1. Kifaa kinachozalisha nguvu za kuendeshea vifaa vya kazi. 2. Kiunzi kinachotumiwa kufumia nguo. 3. Kamba ya chane za miyaa ya kuvutia mtego wa ...

mtambuko

1. Mifumo inayofungamana na kuathiri hali nyingine. 2. Linalohusiana na pande zaidi ya moja. 3. Kupita juu ya kitu bila kukigusa.

mtanda

1. Nyama iliyokatwa mirefu na kukaushwa juani au kwa moto. 2. Uzi unaopitishwa kwenye vijiti au chuma katika kufuma au kutarizi.

mtandao

1. Mfumo wa kompyuta unaowezesha mawasiliano na upatikanaji wa taarifa. 2. Mfumo unaounganisha maeneo au watu kupitia huduma na njia mbalimbali.

mtapo

1. Kipande chembamba kinachotetemeka ndani ya zumari inapopulizwa. 2. Mmea wenye matunda ya kuliwa au kusagwa kutengeneza unga wa uji. 3. Kutetem...

mtarawanda

1. Mti wenye mbao ngumu za kutengenezea soli za viatu vya kuchomeka. 2. Kiatu kilichotengenezwa kwa mbao za mtarawanda.