Kitambaa laini cha wanawake cha kujifunika kichwa au mabega.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mtandio wa Chantal ulikuwa wa bluu.
Headscarf or shawl; soft cloth women wear over the head or shoulders.
Nomino
Example
Chantal's shawl was blue.
Foulard ou châle; étoffe souple portée par les femmes sur la tête ou les épaules.
Nomino
Exemple
Le châle de Chantal était bleu.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi