Pambo la duara la shaba au fedha linalovaliwa kifundoni mwa mguu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mtali wa fedha ulionyeshwa makumbushoni.
Anklet; circular copper or silver ornament worn at the ankle.
Nomino
Example
The silver anklet was displayed in the museum.
Anneau de cheville; bijou circulaire de cuivre ou d'argent porté à la cheville.
Nomino
Exemple
L'anneau de cheville en argent était exposé au musée.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi