Mtu anayebadili mazungumzo kutoka lugha moja hadi nyingine papo hapo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mtapta aliwasaidia wageni kuelewana.
Interpreter; person rendering speech into another language in real time.
Nomino
Example
The interpreter helped the visitors understand each other.
Interprète; personne traduisant oralement dans une autre langue en temps réel.
Nomino
Exemple
L'interprète a aidé les visiteurs à se comprendre.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi