Mwembe wenye maembe yasiyo makali yanapokuwa mabichi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Maembe ya mtambichi hayakuwa makali.
Mild unripe-mango tree; mango variety whose green fruits are not sharply sour.
Nomino
Example
The tree's unripe mangoes were not sharply sour.
Manguier à fruits verts doux; variété dont les mangues non mûres sont peu acides.
Nomino
Exemple
Les mangues vertes de cet arbre n'étaient pas très acides.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi