Vinjari kwa Herufi

Herufi: J

Vimepatikana vidahizo 418 vinavyoanza na herufi J.

Ukurasa 6 / 9 Jumla 418

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

jiokota

1. Jinyanyue na kuondoka ulipokaa au kuanguka. 2. Patwa na athari za kosa ulilotenda.

jisa

1. Fanya mazungumzo, hasa usiku. 2. Zungumza na mtu umtoe katika mawazo mazito.

jisemea

1. Sema bila kujali uzito wa maneno yako. 2. Toa kauli bila kupima kama inaweza kutekelezeka.