jiokota

0

1. Jinyanyue na kuondoka ulipokaa au kuanguka.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alijiokota baada ya kuanguka uwanjani.

2. Patwa na athari za kosa ulilotenda.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alijiokota kwa udanganyifu wake.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →