jongoo
Mdudu mrefu mwenye miguu mingi sana.
Vimepatikana vidahizo 418 vinavyoanza na herufi J.
Mdudu mrefu mwenye miguu mingi sana.
Kundi dogo la wataalamu wenye kazi maalumu.
Rola la kitambaa lenye urefu wa mita ishirini na saba.
1. Aina fulani ya mchezo wa karata. 2. Ndege wa samawati mwenye mdomo mrefu na mnene.
Kwa kasi kufuata mwelekeo wa upepo.
Dimbwi la dawa la kuogeshea mifugo.
Hali ya mazingira kuwa ya moto.
Nyama nyeupe laini ndani ya nazi inayoanza kuota.
1. Moyo wa binadamu au mnyama. 2. Sehemu laini iliyo katikati ya kitu.
Vitu viwili vinavyohesabiwa kuwa seti moja.
1. Pata ufahamu wa jambo. 2. Nyota inayoiangazia na kuipasha joto dunia.
1. Kazi za kujipatia riziki zinazofanywa hasa nje juani. 2. Sekta ya ufundi na biashara ndogo, hasa ya bidhaa za chuma. 3. Kitu kinachodharauliwa...
Fahamiana wewe na mwingine.
1. Koti pana refu lenye ukosi na mikono mikubwa. 2. Zana ya kutobolea mashimo kwenye mbao.
Kumbukumbu maalumu ya tukio kwa vipindi vya miaka ishirini na mitano.
Yenye furaha nyingi na vifijo.
Mshurutishe mtu afanye asichochagua.
Mchezo wa kupambana kwa mieleka baina ya watu wawili.
Mchezo wa timu mbili kuvutana kwa kamba.
Mtu anayedharauliwa kuwa na uelewa mdogo.
Bidii inayowekwa katika kufanya shughuli.
Kimiminika kinachokamuliwa kutoka matunda au miwa.
Uchawi unaoaminika kutumia dawa kuleta madhara.
Wajibu aliopewa au anao mtu.
Sehemu iliyoinuliwa ya kuhutubia au kuigizia.
Mwezi wa saba wa mwaka wa kalenda.
Fahamika kwa watu.
Mpe mtu habari ya jambo.
Ngozi ya mwili, hasa wa binadamu.
Keti juu ya kiti au sehemu ya kupumzikia.
Kipindi cha siku saba zinazofuatana.
Siku inayofuata Ijumaa na kutangulia Jumapili.
Siku iliyo kati ya Jumatatu na Jumatano.
Siku inayofuata Jumamosi na kutangulia Jumatatu.
Siku inayofuata Jumanne kabla ya Alhamisi.
Siku inayofuata Jumapili na kutangulia Jumanne.
1. Jengo lenye ukubwa mkubwa sana. 2. Makao ya wadudu yaliyoundwa kwa majani au vijiti. 3. Mfuko wa kubebea au kuhifadhi mishale.
Kiongozi wa eneo la utawala.
Samaki wa baharini wa aina ya bumbura.
Umbo la mwili wa mtu.
1. Idadi inayopatikana vitu vikihesabiwa pamoja. 2. Kila kitu katika mkusanyiko unaotajwa. 3. Uuzaji au ununuzi wa bidhaa nyingi kwa pamoja.
Pata jumla kwa kuongeza namba pamoja.
1. Kiasi kinachopatikana vitu vikikusanywa pamoja. 2. Jibu la tendo la kujumlisha namba.
1. Kapu kubwa lililosukwa kwa matumizi ya muda mfupi. 2. Kisu chenye ukubwa mkubwa sana.
Ushirika wa watu wenye kusudi la pamoja.
Kundi la waumini waliohitimu mafunzo maalumu ya dini.
Shiriki pamoja na watu wengine.
Waunganishe watu katika shughuli ya pamoja.
Hali ya aibu au kufedheheka.
Chemchemi iliyoko chini ya maji ya bahari.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.