jiriwa

0

1. Kifaa cha kubana mbao wakati wa kuzifanyia kazi.

Nomino
Mfano wa matumizi Fundi amebana ubao kwenye jiriwa.

2. Mtego wa kunasa mnyama.

Nomino
Mfano wa matumizi Nguruwe ameingia katika jiriwa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →