Vinjari kwa Herufi

Herufi: J

Vimepatikana vidahizo 418 vinavyoanza na herufi J.

Ukurasa 9 / 9 Jumla 418

Vidahizo

18 kwenye ukurasa huu

juujuu

1. Bila kuingia ndani sana ya jambo. 2. Bila kutumia ufundi au umakini mwingi. 3. Kwa kupita haraka bila kukawia. 4. Kwa hali isiyo imara au kam...

juzuu

1. Moja ya sehemu thelathini za Kurani. 2. Toleo au sehemu ya chapisho lenye mfululizo.