jisa

0

1. Fanya mazungumzo, hasa usiku.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Wazee walijisa hadi usiku wa manane.

2. Zungumza na mtu umtoe katika mawazo mazito.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Walijisa na mgonjwa ili kumfariji.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →