Fanya shughuli mbalimbali, hasa za kupata kipato.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Vijana wa Mbale wanajishughulisha na ushonaji.
Keep busy; engage in activities, especially to earn income.
Kitenzi
Example
The young people of Mbale are engaged in tailoring.
S’occuper; exercer des activités, notamment rémunératrices.
Kitenzi
Exemple
Les jeunes de Mbale s’occupent de couture.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi