1. Sema bila kujali uzito wa maneno yako.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Nilijisemea tu, sikukusudia kukukwaza.
2. Toa kauli bila kupima kama inaweza kutekelezeka.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Anajisemea atalima shamba lote peke yake.
1. Speak casually; talk without seriously considering one’s words.
Kitenzi
Example
I was only speaking casually and did not mean to offend you.
2. Make empty claims; speak without considering feasibility.
Kitenzi
Example
He makes an empty claim that he will cultivate the whole farm alone.
1. Parler à la légère; parler sans peser ses mots.
Kitenzi
Exemple
Je parlais à la légère et ne voulais pas te vexer.
2. Faire des promesses en l’air; parler sans considérer la faisabilité.
Kitenzi
Exemple
Il prétend à la légère cultiver toute la ferme seul.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi