msaliti
1. Mtu anayewapa maadui siri za nchi yake ili kuihujumu. 2. Mwanachama anayewapa wapinzani siri za chama au jumuiya yake.
Vimepatikana vidahizo 3,098 vinavyoanza na herufi M.
1. Mtu anayewapa maadui siri za nchi yake ili kuihujumu. 2. Mwanachama anayewapa wapinzani siri za chama au jumuiya yake.
Salamu inayotolewa wakati wa jioni au usiku.
Tendo la kutaka kusamehewa kwa kosa.
Mtu anayemsaidia mwenye shida hata kama hamjui.
1. Sehemu ya mwili mahali mapaja yanapoungana na kiwiliwili. 2. Nafasi kati ya miguu mtu anapotembea.
Mharage unaotoa maharage madogo meupe.
Umbo la pande nne lenye kila jozi ya pande zinazokabiliana sambamba.
Uwanja unaotumiwa kufanya tiba za kijadi.
Maneno yote yanayopatikana katika lugha fulani.
Gogo linalotumiwa kutegemeza kichwa wakati wa kulala.
Fundi anayetengeneza vifaa kwa kufua chuma au bati.
Mmea wa aina ya mkadi wenye majani ya nyuzinyuzi.
Mmea wenye majani yanayotumiwa kutengeneza dawa ya kuharisha.
Mti wenye utomvu mweupe na maua meupe yenye doa la njano katikati.
Mti wenye magome ya kunukia yanayotumiwa kusugulia mwili.
Mti unaotoa utomvu mzito wa kutengenezea gundi.
Mtu mwenye ujuzi wa kazi za ufundi.
Mtu mwenye ujuzi wa kupanga vitu kwa ulinganifu na upatanifu.
Mtaalamu anayebuni na kuchora ramani za majengo.
Mtaalamu wa ramani na ujenzi wa barabara, madaraja na miundombinu mingine.
Mtu mwenye ustadi wa kuchora au kuchonga.
Ngoma ya wanawake na wanaume wanaopeana chambi.
Kazi ya maendeleo ya umma inayofanywa kwa kujitolea kwa pamoja.
1. Ofisa anayetunza na kuidhinisha matumizi ya fedha za shule au chuo. 2. Mtu anayetumia vitu kwa uangalifu. 3. Mtu anayepanga shughuli na kuzite...
1. Karatasi yenye chembe ngumu inayotumiwa kulainisha mbao kwa kusugua. 2. Mmea wenye majani mapana yanayokwaruza.
Mtu anayewinda wanyama wa porini.
Mwandishi anayeandaa maandiko ya kwanza ya kazi.
Mtu mzima ambaye hajawahi kufunga ndoa.
1. Mtu aliyepewa mamlaka ya kutoa taarifa kwa niaba ya taasisi. 2. Mtu mwenye uhodari wa kuzungumza.
Samaki mpana mwenye rangi nyeusi na nyeupe au njano.
Mtu anayependa kuzungumza sana.
1. Fungu la maneno lenye maana maalumu na fundisho kwa jamii. 2. Kauli anayoitoa mtu katika kuzungumza.
Neno la kudhalilisha mwanamume anayeingiliwa kingono mkunduni na mwanamume mwingine.
Mtu anayewasema wengine wakiwa hawapo.
Mtu mwenye mazoea ya kuwasema watu wasiokuwapo.
Hali ya kuserereka au kuyumba.
Ngoma ya harusi inayochezwa na watu wengi bila mpangilio maalumu.
Ndege mwenye mdomo mrefu anayefanana na kitwitwi.
1. Mchanganyiko wa vitu vya aina mbalimbali. 2. Chakula cha nafaka na mikunde vilivyopikwa pamoja. 3. Ushirikiano wa watu au vyama vyenye itikadi...
1. Njuga zinazovaliwa miguuni na wacheza ngoma au watoto wanaoanza kutembea. 2. Ngoma ya wachezaji waliovaa njuga.
Kufanana kwa vitu viwili kwa umbo au sura.
Mtu anayependa sana jambo au kitu fulani.
1. Mstari unaopita kwa mwelekeo wa upandeupande. 2. Kitambaa cha chini kinachoandaliwa kushoniwa kofia kwa mkono.
Malipo ya mwezi anayopokea mwajiriwa kwa kazi.
Malipo ya mfanyakazi kabla ya makato.
Fedha za mshahara zinazobaki baada ya makato halali.
Kiasi cha mshahara wa mwezi kisichojumuisha marupurupu.
Mtu anayetunga mashairi au tenzi.
Kijiti chenye ncha ya chuma na unyoya kinachorushwa kwa upinde.
Malipo ya kimila ya mwenye sherehe kwa ajili ya kuwaarifu wageni na kuthibitisha sherehe.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.