msamba

0

1. Sehemu ya mwili mahali mapaja yanapoungana na kiwiliwili.

Nomino
Mfano wa matumizi Mshono wa suruali ulikaza msamba.

2. Nafasi kati ya miguu mtu anapotembea.

Nomino
Mfano wa matumizi Msamba wake ulikuwa mpana alipotembea.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →