Vinjari kwa Herufi

Herufi: M

Vimepatikana vidahizo 3,098 vinavyoanza na herufi M.

Ukurasa 42 / 62 Jumla 3,098

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

mporomoko

1. Mahali pa mteremko mkali uliotokana na ardhi kumeguka. 2. Tendo la vitu kuanguka kutoka juu kwa nguvu.

mpororo

1. Mstari wa watu au vitu vinavyofuatana. 2. Chale za puani zinazofanywa katika baadhi ya desturi.

mpunga

1. Mmea wa nafaka ambao punje zake zikikobolewa huwa mchele. 2. Punje za zao la mpunga kabla ya kukobolewa.

mpyaro

1. Mtu mwenye mazoea ya kutumia lugha chafu. 2. Mtu anayesifu kupita kiasi na kutia chumvi maelezo.

mraba

1. Umbo lenye pande nne sawa na pembe nne za nyuzi tisini. 2. Fungu la shamba lililopimwa kuwa kazi ya siku ya kulima. 3. Mstari wa mimea katika ...

mrabaha

1. Malipo ya mwandishi kutokana na mauzo ya kitabu chake. 2. Faida inayopatikana katika biashara. 3. Malipo kwa mwenye mali au rasilimali inayotu...

mradi

1. Shughuli inayofanywa ili kuleta kipato. 2. Mpango unaotekelezwa kwa maendeleo ya watu. 3. Manufaa au haja anayotarajia mtu kutimiza. 4. Ilimr...