msenge

0

Neno la kudhalilisha mwanamume anayeingiliwa kingono mkunduni na mwanamume mwingine.

Nomino
Mfano wa matumizi Neno msenge linaweza kutumiwa kumdhalilisha mtu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →

Tanbihi

Neno hili linaweza kuonekana kama tusi au dhihaka katika muktadha wa lugha ya kila siku.