msemaji

0

1. Mtu aliyepewa mamlaka ya kutoa taarifa kwa niaba ya taasisi.

Nomino
Mfano wa matumizi Msemaji alitoa taarifa kwa waandishi.

2. Mtu mwenye uhodari wa kuzungumza.

Nomino
Mfano wa matumizi Msemaji hodari aliwavutia wasikilizaji.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →