mshamba
1. Mtu anayeishi na kufanya kazi katika maeneo ya mashambani. 2. Mtu anayedharauliwa kwa kudhaniwa hajui maisha ya mjini.
Vimepatikana vidahizo 3,098 vinavyoanza na herufi M.
1. Mtu anayeishi na kufanya kazi katika maeneo ya mashambani. 2. Mtu anayedharauliwa kwa kudhaniwa hajui maisha ya mjini.
Mti wenye miba myeusi, mirefu na myembamba kwenye matawi.
Kifaa cha chuma chenye mpini cha kuchimbia mashimo ya nguzo.
Hali ya kukosa la kufanya baada ya kuona au kusikia jambo lisilo la kawaida.
Jina la kumheshimu mtu mwenye hadhi.
Kifaa cha seremala cha kutobolea mbao.
Mtu mwenye mazoea ya kugombana.
1. Ndege mdogo mwenye mdomo mrefu mwekundu anayevua samaki. 2. Mmea wenye matawi na majani mengi unaotumiwa katika tiba za jadi.
Mtu anayejivuna kwa mafanikio au sifa alizo nazo.
Mtu anayetoa mawazo ya kumwelekeza mwingine kuhusu jambo.
Hamu kubwa ya kufahamu au kutenda jambo.
Mtu anayemvuta mwingine akubali mawazo au ushauri wake.
1. Mstari uliowekwa kwa mwinamo wa upandeupande. 2. Kitambaa cha duara cha kofia inayoshonwa kwa mkono.
Mtu anayeongoza shughuli na kuwatambulisha watendaji katika hafla.
Mti unaozaa mashelisheli yanayofanana na mastafeli.
1. Mjumbe wa mwanamume anayepeleka posa kwa wazazi wa mchumba. 2. Mtu aliyetumwa kupeleka taarifa muhimu.
Mtu mwenye tabia za kukera anayehukumiwa kuwa hana ustaarabu.
Mtu mwenye jukumu la kuongoza matukio katika hafla.
Mwarabu anayetoka Shihiri katika Bara Arabu.
Mtu anayejihusisha na kitu au jambo fulani.
Mchezaji wa kriketi mwenye zamu ya kupiga mpira kwa beti.
Rafiki wa karibu wa mtu.
Vipande vya nyama vilivyochomekwa kwenye kijiti au chuma na kuchomwa.
Hali ya kuwa pamoja kwa msimamo na ushirikiano katika lengo.
Mshono wa muda wa kuunganisha vitambaa kabla ya mshono wa mwisho.
Fedha, katika mazungumzo yasiyo rasmi.
Mtu anayepambana na wengine katika mashindano.
Mtu ambaye amepoteza pambano au mashindano.
Mtu aliyepata ushindi katika pambano au mashindano.
Tendo la kukandamiza kitu ndani ya kingine kwa nguvu.
1. Ufumaji wa kitanda kwa kutumia ukili. 2. Mlo pekee unaoliwa kwa siku. 3. Mstari wa wima wa pembeni kushoto mwa ukurasa. 4. Mstari wowote ulio...
1. Sauti nzito ya kuanguka, kugongana au kulipuka kwa kitu. 2. Hali ya kufahamu habari za jambo. 3. Kilele cha msisimko wa kingono wakati wa tend...
Mtu aliyepoteza mashindano au pambano.
Mrija wa mwilini unaopitisha damu.
1. Ugwe unaovaliwa kiunoni au kupitishwa kwenye suruali. 2. Kamba ndefu au ugwe unaotumiwa kuvulia samaki.
Mtu anayeshirikiana na wengine katika shughuli.
1. Mjumbe aliye katika kazi ya pamoja. 2. Mtu anayefanya jambo akiwa pamoja na wengine.
Mtu anayeamini au kujihusisha na uchawi.
Mtu anayenunua bidhaa.
Mti unaozaa shokishoki zenye maganda ya nywele laini.
Mtu anayeunganisha vitu kwa kushona kwa uzi, kamba au sindano.
Fundi anayeshona nguo.
Mtu mwenye uadui na mwingine au na kundi.
Mtu mwenye mazoea ya kufanya ngono na watu mbalimbali.
Fundi mwenye utaalamu wa kushona nguo, viatu au bidhaa nyingine.
1. Namna au mtindo wa kushona nguo. 2. Sehemu iliyounganishwa kwa kushonwa.
Kitu kinachoaminika kuleta mkosi au kisirani.
Mstari mmoja wa shairi ndani ya ubeti.
Mtu anayewasilisha malalamiko kwa hakimu au msuluhishi.
Mtu anayefikishwa mahakamani au kwa msuluhishi kwa madai ya kosa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.