Vinjari kwa Silabi

Silabi: ta

Vimepatikana vidahizo 262 vinavyoishia kwa silabi ta.

Ukurasa 4 / 6 Jumla 262

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

mkota

1. Mmea wa jamii ya mtama wenye shina la maji matamu. 2. Mtu mwenye nguvu nyingi za mwili.

mwambata

1. Mtu anayefuatana na mwingine. 2. Ofisa wa ubalozi anayeshughulikia fani yake maalumu.

nyota

1. Tufe la gesi moto la angani linalotoa mwanga. 2. Bahati nzuri katika maisha au jambo. 3. Hamu ya kunywa maji. 4. Alama * inayotumiwa katika s...

opereta

1. Mhudumu anayepokea na kuunganisha simu. 2. Mfanyakazi anayeendesha mashine au mitambo.

ota

1. Tokeza juu ya ardhi au mwili. 2. Pata ndoto ukiwa usingizini. 3. Pinda wakati ubao mbichi unapokauka. 4. Jipatie joto kwa kukaa juani au kari...

pata

1. Pokea kitu au ingia katika hali fulani. 2. Wahi kufanya jambo wakati uliopita.

pepeta

1. Tenganisha makapi na nafaka kwa kuitikisa ungoni. 2. Mpunga mbichi uliokaangwa kisha kutwangwa.

peta

1. Kikonyo cha ua la mkarafuu. 2. Rusharusha nafaka ungoni ili makapi yatoke. 3. Pinda na kupoteza unyoofu.

pita

1. Enda mahali kwa kufuata njia fulani. 2. Mshinde mwingine katika mashindano au jambo fulani. 3. Kuwa jambo la wakati uliotangulia. 4. Dumu kwa...

puta

1. Piga mashuke ili punje za nafaka zitoke. 2. Dundisha mpira kwa mapigo ya nguvu.