1. Tone dogo la mvua.
Nomino
Mfano wa matumizi
Manyonyota yalianza kudondoka kwenye paa.
2. Nyesha mvua kwa matone machache madogo.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mvua ilinyonyota asubuhi.
1. Raindrop; a small drop of rain.
Nomino
Example
Small raindrops began to fall on the roof.
2. Drizzle; rain in small, light drops.
Kitenzi
Example
It drizzled in the morning.
1. Goutte de pluie; petite quantité d'eau tombant en pluie.
Nomino
Exemple
De petites gouttes de pluie ont commencé à tomber sur le toit.
2. Bruiner; pleuvoir en fines gouttes légères.
Kitenzi
Exemple
Il a bruiné le matin.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi