1. Hema kwa nguvu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Alipwita baada ya kukimbia.
2. Choma kwa maumivu ya ndani, hasa kwa jipu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Jipu lilianza kupwita usiku.
1. Pant; breathe heavily or with effort.
Kitenzi
Example
He panted after running.
2. Throb; cause deep sharp pain, especially of a boil.
Kitenzi
Example
The boil began to throb at night.
1. Haleter; respirer fortement ou avec effort.
Kitenzi
Exemple
Il haletait après avoir couru.
2. Élancer; produire une douleur vive et profonde, surtout dans un furoncle.
Kitenzi
Exemple
Le furoncle a commencé à lancer pendant la nuit.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi