Vinjari kwa Silabi

Silabi: ta

Vimepatikana vidahizo 262 vinavyoishia kwa silabi ta.

Ukurasa 6 / 6 Jumla 262

Vidahizo

12 kwenye ukurasa huu

vuata

1. Kutumia tumbaku kwa kuiweka ndani ya mdomo. 2. Kukausha kimiminika kwa kukifyonza.

vuta

1. Kusogeza kitu kwa nguvu ya kukileta kwako. 2. Kushawishi watu wakubali au watende jambo.