modereta

0

1. Msimamizi wa mjadala au mchezo.

Nomino
Mfano wa matumizi Modereta aliwapa washiriki nafasi ya kuzungumza.

2. Mhakiki wa mitihani anayesawazisha maswali.

Nomino
Mfano wa matumizi Modereta alipitia maswali ya mtihani.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →