mmaka
Mmea unaoota au kupandwa katika makaburi.
Vimepatikana vidahizo 600 vinavyoishia kwa silabi ka.
Mmea unaoota au kupandwa katika makaburi.
Mmea wenye matunda yanayotumika kufulia nguo kama sabuni.
1. Alama au sehemu inayotenganisha maeneo mawili. 2. Hadi kufikia wakati au hatua inayotajwa.
Mashindano ya farasi wanaokimbizwa na wapanda farasi.
Mmea wa aina ya mkadi wenye majani ya nyuzinyuzi.
Mtu anayejihusisha na kitu au jambo fulani.
Mtu anayeshirikiana na wengine katika shughuli.
1. Ncha ya nyuma ya jembe inayoingizwa kwenye mpini. 2. Mmea wenye matawi yanayotumiwa kijadi katika kuwaogesha watoto.
Mtu mwenye kuhitaji jambo au kitu.
Mtu ambaye ndoa yake na mwenzi imevunjika kwa talaka.
Unaohusu sekta zaidi ya moja.
Elekeza mwanga kwenye kitu au sehemu ili kionekane.
Kuweza kufyonzwa polepole mdomoni.
Makubaliano yanayofikiwa baina ya watu.
Mtu mwenye asili inayohusishwa na Afrika.
Tawanyika nje ya chombo kwa kutiririka au kupukutika.
1. Kipindi cha miezi kumi na miwili. 2. Siku inayofuata kibunzi katika desturi ya kuoga mwaka.
Mchezaji wa kandanda.
Kutoa mwanga wa ghafla kama mmuliko wa radi.
1. Mchezo wa kushikana ambao kila mpinzani hujaribu kumwangusha mwenzake. 2. Kushindwa au kuangushwa katika jambo.
Karani anayeshughulikia taarifa za siri za ofisi.
Kiumbe cha kiroho kinachoaminiwa kujitokeza kwa mtu.
Punje za mazao zinazotumiwa kama chakula.
Pau ndefu inayotumiwa katika paa la majani au makuti.
Kupata mafanikio na kuishi katika hali nzuri.
Kuacha wadhifa wa uongozi kwa hiari.
1. Kutoka mahali kitu kilipokuwa kimeshikilia. 2. Kuondolewa kwenye wadhifa wa uongozi bila hiari.
Kutumia kijiti chenye panda katika kuchuma matunda mtini.
1. Msimamizi wa kazi za shamba aliye chini ya mkadamu. 2. Askari mwenye jukumu la kusimamia kazi shambani.
Kupata faida au jambo la kukusaidia.
Kutoa harufu mbaya.
1. Kulalamika kwa sauti ndogo. 2. Kutoa malalamiko kwa sababu ya kutoridhika.
Pona hatari iliyokaribia kukudhuru.
1. Kamata kitu kinachopita hewani. 2. Daka mpira kama afanyavyo golikipa. 3. Piga mtu mfululizo kwa haraka.
Katika hali mbaya ya kuharibika au kusawijika.
Kitu kinachodharauliwa au kuonekana hakina thamani.
Ondoka ulipokaa au ulipolala na usimame.
Poteza ubichi kwa joto au ukosefu wa maji.
1. Ng'aa kutokana na mafuta yaliyopakwa. 2. Kuwa na hali ya majimaji.
Enda kwa kuteleza juu ya sehemu laini.
Uwanda wenye nyasi na miti iliyotawanyika.
Metameta kwa mafuta yaliyopakwa.
Sogea kwa mtelezo au mtiririko wa taratibu.
1. Mnyama mrefu mwenye magamba anayetambaa bila miguu. 2. Minyoo inayoishi ndani ya utumbo. 3. Kuwa bila mikunjo au mapindo. 4. Badilika na kuwa...
Ng'oka nywele au manyoya.
1. Kuwa sawasawa bila kupinda. 2. Badilika na kuwa na tabia njema.
Piga mtu sana hadi akadhoofika.
Kuwa na uwezo wa kuvutika na kurefuka.
Pika au imarisha kitu kwa joto la tanuri.
1. Pona katika hatari au jambo baya. 2. Acha dhambi na kujisalimisha kwa Mungu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.