1. Kuwa sawasawa bila kupinda.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Kamba ilinyooka tulipoivuta.
2. Badilika na kuwa na tabia njema.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Baada ya ushauri, kijana alinyooka.
1. Straighten; become free of bends or folds.
Kitenzi
Example
The rope straightened when we pulled it.
2. Reform; become morally upright.
Kitenzi
Example
After receiving advice, the young man reformed.
1. Se redresser; devenir droit et sans plis.
Kitenzi
Exemple
La corde s'est tendue lorsque nous l'avons tirée.
2. S'amender; adopter une conduite intègre.
Kitenzi
Exemple
Après avoir reçu des conseils, le jeune homme s'est amendé.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi