Vinjari kwa Silabi

Silabi: ka

Vimepatikana vidahizo 600 vinavyoishia kwa silabi ka.

Ukurasa 5 / 12 Jumla 600

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

kaa

1. Kipande cha kuni kilichoungua na kuwa cheusi. 2. Mnyama wa majini mwenye gamba na jozi tano za miguu. 3. Jiweke katika hali ya kuketi. 4. Kuw...

kaka

1. Ndugu wa kiume mliye na mzazi mmoja au wawili. 2. Jina la kirafiki la kumwita mwanamume wa karibu. 3. Jina la kumwita mwanamume ambaye jina la...

katika

1. Neno la kuonyesha kuwa kitu kiko ndani ya eneo. 2. Neno la kuonyesha chanzo cha maarifa au matokeo. 3. Achana au vunjika hadi sehemu zitengane...

kibaraka

1. Mtu anayetumiwa kutekeleza masilahi ya mwingine kwa kuwadhuru wenzake. 2. Mtawala anayetumikia masilahi ya mabeberu dhidi ya wananchi wake.

kichaka

1. Eneo lenye mimea midogo iliyosongamana. 2. Kipande cha mti cha kusaidia kunyoosha mti uliopinda. 3. Mti unaosaidia kushikilia mwamba wa nyumba...

kidaka

1. Nazi changa sana kabla ya kufikia hatua ya kitale. 2. Embe changa linaloweza kuliwa pamoja na kokwa yake.

kiuka

1. Pita kutoka upande mmoja wa kitu hadi mwingine kwa kukiruka. 2. Tenda kinyume na kanuni au makubaliano yanayopaswa kufuatwa.

kizuka

1. Umbo la marehemu linaloaminiwa kujitokeza ghafla. 2. Mjane anayebaki nyumbani kwa muda baada ya kufiwa na mume.