Vinjari kwa Silabi

Silabi: sha

Vimepatikana vidahizo 356 vinavyoishia kwa silabi sha.

Ukurasa 3 / 8 Jumla 356

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

hamisha

1. Mtoe mtu au kitu sehemu moja na umpeleke nyingine. 2. Mweke mtu ndani na umzuie kutoka.

isha

1. Kipindi cha usiku baada ya Magharibi. 2. Swala ya Kiislamu inayofuata Magharibi. 3. Malizika kwa kutumiwa. 4. Poteza mali au utajiri kwa kias...