gurugusha

0

1. Bingirisha au geuzageuza kitu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Waligurugusha pipa hadi nje.

2. Vuruga kitu au fanya kazi kwa kuboronga.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Aligurugusha kazi kwa kukosa mpangilio.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →