Vinjari kwa Silabi

Silabi: sha

Vimepatikana vidahizo 356 vinavyoishia kwa silabi sha.

Ukurasa 8 / 8 Jumla 356

Vidahizo

6 kwenye ukurasa huu

zungusha

1. Kufanya kitu kiende kwa mviringo. 2. Kumtembeza mtu katika sehemu mbalimbali za eneo. 3. Kumchelewesha mtu kwa kutompa anachostahili.

zusha

1. Kufanya jambo jipya lijitokeze ghafla. 2. Kutunga na kueneza habari zisizo za kweli.