Punguza ubora au thamani ya kitu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Maneno yale yalihafifisha juhudi zake.
Diminish; to reduce the quality or value of something.
Kitenzi
Example
Those words diminished her efforts.
Déprécier; réduire la qualité ou la valeur de quelque chose.
Kitenzi
Exemple
Ces paroles ont déprécié ses efforts.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi