Vinjari kwa Silabi

Silabi: li

Vimepatikana vidahizo 413 vinavyoishia kwa silabi li.

Ukurasa 5 / 9 Jumla 413

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

mali

1. Vitu vyenye thamani ambavyo mtu anamiliki. 2. Kitu chochote kilicho katika umiliki wa mtu. 3. Kitu kinachothaminiwa sana.

mgoli

1. Mke wa mtawala au mtu mwenye hadhi kubwa. 2. Nyoka wa majini anayefanana na chatu.

mhalili

1. Mtu anayeoa mtalaka kwa lengo la kuachana naye ili arudiane na mume wa awali. 2. Mtu anayerudia jina la Mungu kwa kuhesabu visomo.

mhimili

1. Nguzo au boriti ya kutegemeza sehemu ya jengo. 2. Mtu anayeheshimiwa sana na kutegemewa katika jamii.

mli

1. Kamba ya usukani inayosaidia kuongoza chombo cha majini. 2. Kamba ya kupandisha na kushusha tanga. 3. Chuma cha kuunganisha vikuku vya pingu z...

msajili

1. Ofisa anayetunza taarifa rasmi za kuzaliwa, kufa na ndoa. 2. Mkuu wa idara ya kusajili na kuratibu vyama au asasi. 3. Ofisa mkuu anayesimamia ...

msuli

1. Sehemu ya mwili yenye nyuzinyuzi zinazokaza na kuleta mwendo. 2. Vazi la makunguru ambalo wanaume hufunga kiunoni.

Mswahili

1. Mwenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki ambaye Kiswahili ni lugha yake ya kwanza. 2. Mkazi wa mjini anayezungumza Kiswahili kama lugha ya kwanza....