Vinjari kwa Silabi

Silabi: li

Vimepatikana vidahizo 413 vinavyoishia kwa silabi li.

Ukurasa 7 / 9 Jumla 413

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

seli

1. Uuzaji wa bidhaa zilizokaa dukani kwa bei iliyopunguzwa. 2. Chumba cha kuwazuilia watu katika polisi au gerezani. 3. Kizio kidogo cha msingi k...

sili

1. Mnyama wa baharini mwenye manyoya na ngozi laini. 2. Mnyama mdogo wa porini anayefanana na sungura, anayeitwa pimbi.

soli

1. Sehemu ya chini ya kiatu inayogusa ardhi. 2. Askari mwenye cheo cha sajini katika Tanganyika ya utawala wa Kijerumani.

stahili

1. Kuwa na sifa ya kupata jambo. 2. Wajibika kupata matokeo ya jambo ulilosababisha. 3. Sababu inayomfanya mtu apate jambo jema au baya.

stuli

1. Meza ndogo ya kuwekea vitu vichache. 2. Kiti kidogo kisicho na sehemu ya kuegemea mgongo.

taali

1. Njoo karibu na anayekuita. 2. Soma maandishi kwa umakini. 3. Rudia maandishi ili uyakumbuke vizuri.